Pokea Uponyaji

by The Seeds of Datura

/
  • Streaming + Download

    Includes unlimited streaming via the free Bandcamp app, plus high-quality download in MP3, FLAC and more.

      $1.90 USD  or more

     

about

This Song is Called "Pokea Uponyaji" means to Recieve Treatment in Swahili.

The Vocals were done by Martin Kanja and Lawrence Muchemi
(recorded in Swahili.)


The song shows you what is really happening in our day to day world.

lyrics

MARTIN KANJA

(Sawa tuende kazi)

Pokea
Uponyaji wako
Wanadoea pesa zako
Walanguzi , wa injili
Wanakupoteza na bado hamuoni
Panda mbegu
Bila hiyo haupokei uponyaji wako,
Na bado unawaamini
Na bado unajua hawakusaidii
Na bado unaingia
Kwa mtego mbaya


LAWRENCE MUCHEMI

Ooooooooohhhhhh

Akili ni Mingi (ni mingi)
Akili ni Mingi (ni mingi)
Akili ni Mingi (ni mingi)
Akili kwa Wingi
Lakini,
Wapi msingi
Kazi
Umeachia mwenye anaakili zaidi
Anakupatia kipindi (kipindi)
Huku,
Anakukaidi (kukaidi)
Anakupatia kipindi,
Huku anakukaidi (kukaidi),
Kinyuma anakuchoma
Akikunyonya kimelea
Hajiwezi (hajiwezi)

credits

released May 31, 2017
Special thanks to Martin Kanja, Lawrence Muchemi,Mordecai Ogayo,Daniel Kobimbo, Indus Sultan and Wilson Muia.

Special thanks to Realms of Mist Studios for Recording Vocals.

Lyrics by : Martin Kanja, Lawrence Muchemi , Wilson Muia

Track Composed,Recorded, Mixed and Mastered by Wilson Muia

tags

license

all rights reserved

about

The Seeds of Datura Limuru Town., Kenya

contact / help

Contact The Seeds of Datura

Streaming and
Download help